Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Ramadhan Yasoda inayoishi Igagala no.5 inayo furaha kukualika/kuwaaalika

Ads
Familia ya Ramadhan Yasoda inayoishi Igagala no.5 inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha harusi
Familia ya Ramadhan Yasoda inayoishi Igagala no.5 inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha Harusi cha kijana wao mpendwa Rajab Yasoda,
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani kwa Ramadhan Yasoda tarehe 02/07/2024 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya Harusi ya Kijana wetu

Asante.
Similar cards
Inspirations
The Base On WhichSaturday, 10th February 2024, at 1:00 pm till 6:00 pmOur eldest sonFAAG UTSAV11/03/2024, MondayH.No. 2718 Sector-32A
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 59 Created 7 days: 424 Created 30 days: 2182 All ecards: 337285
Copyright by CreateGreetingCards.eu