Familia ya RICHARD BOAY wa arusha wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya RICHARD BOAY wa arusha wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa LAURENT RICHARD BOAY
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/08/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Kwa Mawasiliano
0755823314 RICHARD BOAY
0765506039 CATARINA KISIMBI
LAURENT RICHARD BOAY.
Statistics
Created today: 16
Created yesterday: 58
Created 7 days: 415
Created 30 days: 3998
All ecards: 330379
Copyright by CreateGreetingCards.eu