Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa binti yao mpendwa SAHILA IDDY
anatarajia kufunga ndoa tarehe 20/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa
aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : 0683542283
0683828720
Statistics
Created today: 501
Created yesterday: 377
Created 7 days: 1544
Created 30 days: 3350
All ecards: 328415
Copyright by CreateGreetingCards.eu