Familia ya Shitundu wa salasala na Mwakikao wa Mivumoni-Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Shitundu wa salasala na Mwakikao wa Mivumoni-Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Prof/Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mch./Sheikh./Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Donanciano Joseph
anatarajia kufunga ndoa na Dorice Oriemo Climent mwishoni mwa mwezi wa nane, 2025.
hivyo Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/08/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki/Awabariki
Mawasiliano/Mchango :
0686 656 439 Donanciano Joseph
0714 296 390 Fedister Aggrey 40810162898 Donanciano Joseph Shitundu(NMB)
Statistics
Created today: 7
Created yesterday: 46
Created 7 days: 250
Created 30 days: 1467
All ecards: 342877
Copyright by CreateGreetingCards.eu