Familia ya Tecla Erasto Bogohe wa Shinyanga Mjini inayo furaha kukutaarifu
Create a similar
Send a card
Zbieramy na nowe darmowe kartki!
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Tecla Erasto Bogohe wa Shinyanga Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg
.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Jesto Erasto Constantine anayetarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tisa (9).
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaombwa ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : Mwenyekiti 0755938352
Katibu 0758055473
Statistics
Created today: 0
Created yesterday: 116
Created 7 days: 839
Created 30 days: 2586
All ecards: 354154
Copyright by CreateGreetingCards.eu