Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Thomas Mbise wa Kizota Relini, Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Thomas Mbise wa Kizota Relini, Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Thomas Mbise wa Kizota Relini, Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Prof/Mch/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Max Thomas Mbise
anatarajia kufunga ndoa siku ya Jumapili tarehe 29/12/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Mchango: 40,000 - Sigle
70,000 - Double
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/12/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati

MUNGU AKUBARIKI SANA

Mawasiliano: 0677 992555 - MAX MBISE
0620 597773 - DATIVA AMRI
50510065877 (NMB)- DATIVA AMRI
Similar cards
Inspirations
Amrut Aagan Phase 2, Building no-6Venue : C 301 JasmineGhodekar FamilyTime: 10 00 AMMrs. Sarojini Biradar
Statistics Created today: 61 Created yesterday: 293 Created 7 days: 691 Created 30 days: 2899 All ecards: 354842
Copyright by CreateGreetingCards.eu