Familia ya Winchislaus Aloyce wa Bukoba inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Send Off
Familia ya Winchislaus Aloyce wa Bukoba inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa binti yao mpendwa Jenifa Winchislaus
anatarajia kufanyiwa sherehe ya kuagwa mwishoni mwa mwezi wa tisa.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/08/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mung akulipe pale utakapopunguza.
Mawasiliano : Jenifa Winchislaus 0765 899 991
0713 920 973
Statistics
Created today: 46
Created yesterday: 74
Created 7 days: 420
Created 30 days: 1565
All ecards: 352410
Copyright by CreateGreetingCards.eu