Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Yona Lemelo wa Manyoni Singida inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Yona Lemelo wa Manyoni Singida inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Yona Lemelo wa Manyoni Singida inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Cosmas Lemelo
anatarajia kufunga ndoa mwezi Disemba 2023.
Hivyo mkiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati


Mawasiliano : Edward Lemelo 0767 083111
Cosmas Lemelo 0752 943794


"Tunatanguliza shukrani zetu za dhati, Mungu awabariki Asanteni sana"
Similar cards
Inspirations
Venue : 2231 centralpkwyVenue : 2102-5380, Oben st, Vancouver20 March 2024, WednesdaySmt Adarsh & Shri Subhash Narain Rastogi cordially invite you to joinHappy birthday to someone who has made a profound impact on my lifeMishawaka IN - 46545
Statistics Created today: 13 Created yesterday: 74 Created 7 days: 387 Created 30 days: 1532 All ecards: 352377
Copyright by CreateGreetingCards.eu