Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Zakayo Buchafwe Magesa wa musoma (m)inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Zakayo Buchafwe Magesa wa musoma (m)inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Zakayo Buchafwe Magesa wa musoma (m)inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.....Deus Obure........................................
kuwa kijana wao mpendwa Daud Silo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa feb 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.40,000/30,000.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/12/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mwl Dorah Buchafwe
Similar cards
Inspirations
You are cordially invited for Haldi kumkum and Satyanarayan Pooja PrasadOn Tuesday,14 January 2025Time: 11.30am onwardsVenue :T3 B, 106,Runwal ForestLalitha Sahasranama Stotram Parayanam and Tambulam InvitationOn Wednesday, 23 August 2023
Statistics Created today: 68 Created yesterday: 124 Created 7 days: 651 Created 30 days: 1995 All ecards: 353284
Copyright by CreateGreetingCards.eu