Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika
Create a similar
Send a card
The content of the card
UFADHILI WA SENDOFF
Familia ya Nicodemus R. Kiloloma wa B/Kasulu(Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Bakita N. Kiloloma anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa saba(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) inayotarajiwa kufanyika tarehe 03/07/2023.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 30/06/2023
Kwa Mawasiliano
0755027728 Nicodemus Kiloloma Mzazi
0716 990 606 Francis Nombo M/Kiti
Statistics
Created today: 9
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1617
Created 30 days: 3672
All ecards: 328921
Copyright by CreateGreetingCards.eu