Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Hivyo ukiwa kama ndugu, Jamaa, Rafiki au Jirani wa Familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mal

Ads
Hivyo ukiwa kama ndugu, Jamaa, Rafiki au Jirani wa Familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mal
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MCHANGO WA SEND OFF

Familia ya Bw na Bibi MESHACK LOTH NDAGILE wa Mbeya Tukuyu
Wanayo furaha Kubwa kukujulisha/kuwajulisha
Mhe/Dkt/Bw. & Bibi/Prof/Mch
..................................
Kuwa binti yao Mpendwa
DORCAS MESHACK NDAGILE
Anatarajia kuagwa (Send_Off) tarehe 12-6-2025
Hivyo ukiwa kama ndugu, Jamaa, Rafiki au Jirani wa Familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha Sherehe hii muhimu

Tutapokea kwa Upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 6 - 6-2025
Kwa Mawasiliano zaidi
0683496266 Dorcas Meshack
Similar cards
Inspirations
•Gol Dhana Ceremony Invitation•A-4, Ground FloorThat marriage brings, remember toFamilia ya Bw&Bibi Ezekiel Leonsi wa Mbulu Manyara inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaDear Rehana Aapa and Shafi BhaijaanNy of HEMALI and SANIT on April 23th 8 a
Statistics Created today: 7 Created yesterday: 18 Created 7 days: 72 Created 30 days: 311 All ecards: 360403
Copyright by CreateGreetingCards.eu