Ia kwa aliyekupa kadi hii
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Karoli Shitundu na Fedister Mwakikao wa Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa DONANCIANO JOSEPH
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya mwezi nane kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
"Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa hata kumwagika,..."
Lk 6:38
Mawasiliano : Donanciano 0686 656 439 Karoli Shitundu 0756 854 336
Fedister Mwakikao 0714 296 390
Statistics
Created today: 39
Created yesterday: 70
Created 7 days: 375
Created 30 days: 1481
All ecards: 352109
Copyright by CreateGreetingCards.eu