Create a similar
Send a card
Zbieramy na nowe darmowe kartki!
The content of the card
Familia ya Bw & Bi George Selengia
wa Rombo Mkuu wanayo heshima kukuomba/kuwaomba Bw/Bi/Bw&Bi/Ask./Mch./Prof/Dr.
…………………………………………………………
Mchango wa Harusi ya mtoto wao mpendwa
Ian George Selengia
anayetarajia kufunga ndoa mwezi wa tisa mwanzoni Mkoani Kilimanjaro.
Ukiwa kama rafiki, ndugu au jamaa wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali kwa chochote ulichobarikiwa ili kufanikisha shughuli hii.
Tunaomba mchango wako utufikie
kabla ya 9/08/2024.
Tuma mchango wako kwa
Airtel Money – 0695376516 Ian George Selengia
NMB Ac. No.: 43510028537
Statistics
Created today: 17
Created yesterday: 17
Created 7 days: 116
Created 30 days: 611
All ecards: 357990
Copyright by CreateGreetingCards.eu