Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya ZAKAYO BUCHAFWE inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
IMAN FRED BWATWA......................
kuwa kijana wao mpendwa DAVID SILO
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi FEBRUAY 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako 40,0000d/30,000s,ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2026 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU AKUBALIKI:
Mawasiliano : 0620832081
AMON BUCHAFWE
Statistics
Created today: 53
Created yesterday: 81
Created 7 days: 491
Created 30 days: 2778
All ecards: 356361
Copyright by CreateGreetingCards.eu