Imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Florian Mbossa anay
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Bwana na Bi Innocent Mbossa wa Dodoma Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg
.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Florian Mbossa anayetarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 9.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : Mwenyekiti 0738261409 Baba
Katibu 0738261405 Mama
Statistics
Created today: 7
Created yesterday: 75
Created 7 days: 538
Created 30 days: 2894
All ecards: 355794
Copyright by CreateGreetingCards.eu