Imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Jesto Erasto Consta
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Tecla Erasto Bogohe wa Shinyanga Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg
.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Jesto Erasto Constantine anayetarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tisa (9).Kikao cha kwanza cha kamati kitafanyika tarehe 4/5/2025 Kitakachofanyika Liga Hotel saa kumi jioni.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaombwa ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : Mwenyekiti 0755938352
Katibu 0758055473
Statistics
Created today: 21
Created yesterday: 47
Created 7 days: 350
Created 30 days: 1472
All ecards: 352182
Copyright by CreateGreetingCards.eu