Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule

Ads
Imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg

.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba mwanzoni mwa mwezi wa 10/2025.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu. Kikao cha kwanza kitakuwa tarehe 19/07/2025 siku ya jumamosi katika ukumbi wa kanisa la Anglikana Ludewa mjini.


Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Similar cards
Inspirations
GOLD DHANA CEREMONY INVITATIONBhadravathi Tq Shimoga DistMwalimu Bazil KasenegalaPayal ThakkarFamilia ya Mzee ANTHONY JACOB wa Kashari (Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa kijana wao mpendwa MIt gives me immense pleasure to invite you for my wedding ceremony on 24th Aug, 2018 from 5.30 am to
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 10 Created 7 days: 66 Created 30 days: 365 All ecards: 360741
Copyright by CreateGreetingCards.eu