Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana na Bibi
JOHN WANKULU wa MWANZA
Wanayo furaha kubwa kukuomba/kuwaomba
Prof./ Dk./ Mhe./ Bw / Bi.
.........................................................................
Mchango wako kwa ajili ya vijana wao wapendwa
Majaliwa & Jackline
Wanatarajia kufunga ndoa tarehe 19/10/2025.
Ukiwa ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii, unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Wasilisha mchango wako kabla ya
tarehe 10/10/2025.
DOUBLE:- 20,000/= SINGLE:- 15,000/=
Namba ya Kuchangia:-
Majaliwa John - 0765278447
Mungu Mwenyezi awabariki.
Statistics
Created today: 6
Created yesterday: 101
Created 7 days: 581
Created 30 days: 1996
All ecards: 353323
Copyright by CreateGreetingCards.eu