Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi.
Familia ya Joseph na Josephine Kitakwa wa Tabata Segerea inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
....................................................
kuwa kijana wao mpendwa
Kalinde Joseph Kitakwa
anatarajia kufunga ndoa mwisho wa mwezi October 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Single: Tsh 70,000
Double: Tsh 100,000
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kabla ya tarehe 30/09/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana.
Mawasiliano : 0659370744 au 0625577167
Statistics
Created today: 73
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1774
Created 30 days: 3723
All ecards: 328912
Copyright by CreateGreetingCards.eu