Katika Maisha watu hawatazami Jana yako, macho yao yapo kwenye Leo yako bahati mbaya Hawaijui kesho
Create a similar
Send a card
The content of the card
Katika Maisha watu hawatazami Jana yako, macho yao yapo kwenye Leo yako bahati mbaya Hawaijui kesho yako, Daima usipoteze Muda kuwaelezea Jana ulikuwa Nani au kesho utakuwa wapi, Ongeza Juhudi ukutane nao kesho ukiwa na mafanikio na watakauwa wameshasahau waliyyaosema Jana.
SumaJr.
Statistics
Created today: 11
Created yesterday: 95
Created 7 days: 752
Created 30 days: 2488
All ecards: 327411
Copyright by CreateGreetingCards.eu