Kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
REHEMA GILBERT LUPONDO
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki Sana
Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Statistics
Created today: 19
Created yesterday: 39
Created 7 days: 301
Created 30 days: 1217
All ecards: 344004
Copyright by CreateGreetingCards.eu