Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 24/10/2024

Ads
Kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 24/10/2024
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bib/Bwa YUSUPH HAMISI wa Kondoa-Busi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl
... IBRAHIM MAKHA....
kuwa kijana wao mpendwa
NURUDIN YUSUPH HAMISI
anatarajia kufunga ndoa na
NAFILI ABDI ISAKA.
Inayotarajiwa kufanyika tarehe 26/19/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 24/10/2024.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :NURUDINI HAMISI 0627117968 AU.
TIGO LIPA NO. 7347648
Similar cards
Inspirations
Hawan Ceremony Invitation
 
 We are happy to invite you all for joining the
 Hawan ceremony of our mGrand Rio Restaurant & BanquetMr Tharmaah Rao & Mrs Shobana
 
 invites you to join them for
 
 BANGLE CAREMONY 
 
 Sunday | 27th DInayotarajiwa kufanyika tarehe 26/10/2024.Ukiwa kama ndugu jamaa jirani na rafiki was familia hii. UMi Hijita bella ya 2 añotes juntitos te imaginas :), en los que cada día que pasa te amu aun mashMagda & Michał
Statistics Created today: 15 Created yesterday: 10 Created 7 days: 118 Created 30 days: 656 All ecards: 357924
Copyright by CreateGreetingCards.eu