Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa Binti yao mpendwa Salome Makungu

Ads
Kuwa Binti yao mpendwa Salome Makungu
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Send off
Familia ya Bw.Godfrey Makungu wa Katunguru/Sengerema/Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Pdr

.............................................
kuwa Binti yao mpendwa Salome Makungu
anatarajia kufanyiwa sherehe ya kumuaga( send off) mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughulu hii muhimu.
Double shilingi 30,000/= na
Single shilingi 15,000/=
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano : Salome Godfrey 0715054631
Godfrey Makungu 0787605324
Similar cards
Inspirations
Engagement Invitation
 
 
 I Cordially Invite You To Engagement Ceremony 
 
 Rishabh & RoshniDr. Amarjeet Kaur (Minnie)8:00 AM OnwardsItMrs Sushma & Mr Anil Shankar Verma..
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 22 Created 7 days: 117 Created 30 days: 773 All ecards: 357489
Copyright by CreateGreetingCards.eu