Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa BAZIL .S.NDEGE

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa BAZIL .S.NDEGE
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi

Familia ya Mr&Mrs CASMIR NDEGE inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa BAZIL .S.NDEGE
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane(8).
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 31/07/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
AHSANTE SANA

Mawasiliano : Renatha Ndege
Florence Gati 0756666708
Similar cards
Inspirations
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ MBWANA kuwa kijaVenue : C2-1202, Tuscan ParklandVenue : Row House 05 High Class Residency, BavdhanPlease RSVP at 9145729309/9409401478Pippera - Parisara Gramalu Samajam - MumbaiVenue: D-701, Pristine Prolife, Phase1
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 20 Created 7 days: 71 Created 30 days: 280 All ecards: 360185
Copyright by CreateGreetingCards.eu