Kuwa kijana wao mpendwa Christopher Nassa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Nassa Mwegairo wa Rudewa Kilosa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Christopher Nassa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/09/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu awabariki
Mawasiliano : christopher 0715822491
Statistics
Created today: 20
Created yesterday: 81
Created 7 days: 464
Created 30 days: 2177
All ecards: 326760
Copyright by CreateGreetingCards.eu