Kuwa kijana wao mpendwa Francis Francis Samata
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mwl.Francis Samata wa Luwawasi Songea inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Francis Francis Samata
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa 11.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Na Mungu Akubariki
Mawasiliano : 0766529513,0621062676
FRANCIS SAMATA
Statistics
Created today: 326
Created yesterday: 138
Created 7 days: 1124
Created 30 days: 2880
All ecards: 327864
Copyright by CreateGreetingCards.eu