Kuwa kijana wao mpendwa Haidary Rashid Mbiru
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Marehemu Rashid Salim Mbiru wa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Haidary Rashid Mbiru
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa pili mwaka 2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mrs Mbiru 0784185087
Haidary 0624151331
Statistics
Created today: 73
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1774
Created 30 days: 3723
All ecards: 328912
Copyright by CreateGreetingCards.eu