Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa Hussein Ramadhan

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa Hussein Ramadhan
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ramadhan Omar Gombo wa Mkwajuni, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Hussein Ramadhan
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/11/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri!

Mawasiliano : Baba Hussein( Mzee Gombo) 0729677261
Mama Hussein( Mama Safina)0721797821
Similar cards
Inspirations
We request the pleasure of your company at engagement ceremony of my beloved daughter??꧁ जय गुरु जी ꧂ੴSpecial person to me
 My heartiest wishes to you on your BirthdayNagyon szépen köszönöm a névnapi köszöntéstTe vagy a másik felem. A kristálytiszta levegő, amely körülvesz és élettel tölti meg a testeTwo loving hearts are getting United   and making a
Statistics Created today: 110 Created yesterday: 295 Created 7 days: 934 Created 30 days: 2622 All ecards: 354149
Copyright by CreateGreetingCards.eu