Kuwa kijana wao mpendwa Josephat Lyapembile
Create a similar
Send a card
Zbieramy na nowe darmowe kartki!
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Maximilian Lyapembile inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Josephat Lyapembile
anatarajia kufunga ndoa 28/06/2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 08/06/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mawasiliano : Maximilian Lyapembile 0763729877
Josephat Lyapembile 0743745789
Mr.Karata 0762716511
Statistics
Created today: 3
Created yesterday: 7
Created 7 days: 85
Created 30 days: 285
All ecards: 360342
Copyright by CreateGreetingCards.eu