Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa SAHILA IDDY

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa SAHILA IDDY
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa SAHILA IDDY
anatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 20/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : 0683542283
Thani 0673728720
Similar cards
Inspirations
Time: 6.00pm To 8:00pmGRACEHappiness is around when We meet each other & click selfies togetherVenue :Adreno tower 41/503Haldi Kumkum🙏OPP to Kamala vinayagar temple
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 15 Created 7 days: 87 Created 30 days: 295 All ecards: 360358
Copyright by CreateGreetingCards.eu