Kuwa kijana wao mpendwa Stanley Mkumbwa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mwl.Omari Mustafa wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Stanley Mkumbwa
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa kui na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/11/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana
Mawasiliano : Mama Mohamed 0713387644
Thani 0686 464558
Statistics
Created today: 30
Created yesterday: 70
Created 7 days: 366
Created 30 days: 1472
All ecards: 352100
Copyright by CreateGreetingCards.eu