Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa Vijana wao wapendwa SAHILA IDDY NA KARIMU HAMISI

Kuwa Vijana wao wapendwa SAHILA IDDY NA KARIMU HAMISI
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Sherehe ya harusi
Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa Vijana wao wapendwa SAHILA IDDY NA KARIMU HAMISI
Wanatarajia kufanya sherehe mnamo tarehe 20/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
MCHANGO NI THS. 5,000/=
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :Mama Muhamady
0673728720
0683542283
Similar cards
Inspirations
Venue : A-305Venue : at 101W/o Late Suresh Chand GuptaTime: 5 to 6 pmHe Fairy Tale of Princess Wendy Part 4On Thursday, 11th January 2024
Statistics Created today: 63 Created yesterday: 86 Created 7 days: 700 Created 30 days: 3079 All ecards: 312289
Copyright by CreateGreetingCards.eu