Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

KWAYA KUU CHANIKA

Ads
KWAYA KUU CHANIKA
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
KWAYA KUU CHANIKA

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
On friday, 19January 2024Venue : Nd 31 hudco,NandedOn Sunday, 2nd Feb 2025Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja na kwa umojaYou are cordially invited to thambulam at our home on the occasion of Varalakshmi VrathamOn Monday, 07 February 2022
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 17 Created 7 days: 182 Created 30 days: 1192 All ecards: 357140
Copyright by CreateGreetingCards.eu