Create a similar
Send a card
The content of the card
Familia ya Bw & Bi Lameck Maganga
wa Mbezi - Dar es Salaam wanayo heshima kukuomba/kuwaomba Bw/Bi/Bw&Bi/Ask./Mch./Prof/Dr.
Lameck Maganga
…………………………………………………………
Mchango wa Sendoff ya mdogo wao mpendwa
Maryciana M. Lutego
anayetarajiwa kuagwa mwezi wa sita hapa Dar es Salaam, ukiwa ndugu wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii.
Tunaomba mchango wako utufikie
kabla ya 15/06/2024.
Tuma mchango wako kwa
Mpesa – 0756 008063 Willeciana Bitullo
Tigopesa – 0713 832399 Maryciana Lutego
Statistics
Created today: 30
Created yesterday: 68
Created 7 days: 939
Created 30 days: 4118
All ecards: 329994
Copyright by CreateGreetingCards.eu