Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mama B.Zakayo Buchafwe Magesa

Ads
Mama B.Zakayo Buchafwe Magesa
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Zakayo Buchafwe Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.....Mama B.Zakayo Buchafwe Magesa........................................
kuwa kijana wao mpendwa Daud Silo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa pili 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2026 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Amon B magesa
Mjomba
Amon :0620832081
Similar cards
Inspirations
On Saturday, 28 January 2022KiaraTazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja na kwa umojaPara mi querida abuela LiliaDear friends you all are cordially invited forOn Thursday, 26 December 2024
Statistics Created today: 13 Created yesterday: 16 Created 7 days: 90 Created 30 days: 336 All ecards: 359412
Copyright by CreateGreetingCards.eu