Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mawasiliano : jane manyilizu 0715677391

Ads
Mawasiliano : jane manyilizu 0715677391
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Dr.GELARD ELIAS MDUSHI wa kISEWE/TEMEKE/DAR ES SALAAM inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa MDUSHI GELARD
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano : jane manyilizu 0715677391
Gelard mdushi 0783191460
Mdushi Gelard 0718321579
Similar cards
Inspirations
S/O (Late) Satpal & Anjali BhallaManoj Kumar RadharapuHimanshu JoshiD/O sdn Rajwant Kaur & S.Gurjit SinghDecember 10, 2022On Thursday, 22nd Jan 2024
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 16 Created 7 days: 119 Created 30 days: 675 All ecards: 358646
Copyright by CreateGreetingCards.eu