Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Maximilian Kibura

Maximilian Kibura
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Maximilian Kibura
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 23/05/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawad Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
On Friday,6/October/2023??मस्कारPh: 8277238017Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na kHaldi Kumkum & VeeranshiVenue : E-1104, Life Montage Society,Sus
Statistics Created today: 56 Created yesterday: 120 Created 7 days: 986 Created 30 days: 4777 All ecards: 307832
Copyright by CreateGreetingCards.eu