Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MCHANGO WA SENDOFF

Ads
MCHANGO WA SENDOFF
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Melkizedeck Mligha(Marehemu) was Rau Madukani(Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Nancy M. Mligha anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi(2022).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa kumi.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/10/2022

Kwa Mawasiliano
0784457356 Nancy Mligha
0767264373 Jeff Mligha

NANCY MELKIZEDECK MLIGHA.
Similar cards
Inspirations
(D/O Mrs Mamta and Mr Anil Goswami)30th Jan 2020 between 10Familia ya Bwana na Bibi Shabani Mrutu wa Soweto (Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpeSmita Kiran ChaudhariHou aan om die berg saam te klim7-Apr-2023
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 9 Created 7 days: 78 Created 30 days: 362 All ecards: 359581
Copyright by CreateGreetingCards.eu