Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mungu akubariki Sana

Ads
Mungu akubariki Sana
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
GOLDEN MWAPONGO

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
I Would Like To Invite You To Our Home On The Occasion Of Haldi Kumkum ceremony14th Oct’ 2018 (Sunday)Flat no.: C-804Venue : 23, Gurukrupa Nagari, wadgaonSULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha SANURA SAID kuwa kijanaWe are happy to invite you all for joining the Hawan Ceremony followed by lunch
Statistics Created today: 17 Created yesterday: 116 Created 7 days: 856 Created 30 days: 2603 All ecards: 354171
Copyright by CreateGreetingCards.eu