Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwaliko wa harusi

Ads
Mwaliko wa harusi
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mwaliko wa harusi
Familia ya Yusuph Said wa
Mwananyamala Ujiji inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye sherehe ya mtoto
wao mpendwa Kasimu Yusuph
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kuhudhuria katika sherehe hiyo itakayo fanyika nyumbani kwa Yusuph Said Mwananyamala Ujiji tarehe 28/04/2024 kuanzia saa 10:00 Asubuh
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio ukamilifu wa sherehe yetu

Mawasiliano : Mzee yusuph maingila
+255784683090
Similar cards
Inspirations
Familia ya Mzee Hamoud Abubakari Sona wa Tabata kinyerezi-Zimbili B anaependa kukujulisha/kuwajulishVaibhav Laxmi Maa ki Jai hoVenue : Flat 08 2ND floor,Mishwr Building,11 street, Prince SultanWe are cordially invite you all to visit our home L-503 for divine chanting today @11 AMB-403,Sukur Garden ChsTomorrow on tuesday, 25th January 2021 all are invited at my place for haldi kumkum
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 5 Created 7 days: 71 Created 30 days: 359 All ecards: 360720
Copyright by CreateGreetingCards.eu