Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Mwalimu Peter Funuku wa Tanga Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg
.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa anayetarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa 12.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaombwa ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : Mwenyekiti 0753 013 177
Katibu 0713 071 211
Statistics
Created today: 4
Created yesterday: 713
Created 7 days: 1607
Created 30 days: 3487
All ecards: 328631
Copyright by CreateGreetingCards.eu