Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwaliko wa kikao cha harusi

Ads
Mwaliko wa kikao cha harusi
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mwaliko wa kikao cha harusi
Familia ya Mama akelina wa ussoke majengo inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha send off cha binti wao mpendwa anastazia lameck
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani kwa mama akelina tarehe 30/09/2023 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya send off ya binti yetu mpendwa

Mawasiliano : Mama akelina 078-859-8219
Mama esta 078-712-7596
Similar cards
Inspirations
On Friday, August 16th 2024Venue : A-001,Trimurti Appartment, Sagarli, Dombivli-EOn Date 13 February 2022हल्दी कुंकू निमंत्रणFamilia ya Bw. JULIUS ELIUS KATUKU wa Mipango Dododoma, inayo furaha kubwa sana kukujulisha/kuwajulMay the vibrancy of the festival fill your life with the colours of joy, success, and prosperity. Ha
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 9 Created 7 days: 56 Created 30 days: 260 All ecards: 360830
Copyright by CreateGreetingCards.eu