Mwaliko wa kikao cha KAPU LA MAMA
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha KAPU LA MAMA.
Familia ya Ndg VEDASTO ALISEN SENYONI wa MUKAREHE - NGARA inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha KAPU LA MAMA cha binti Yao mpendwa ANGEL MAOMBI VEDASTO
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika nyumbani kwa VEDASTO ALISEN SENYONI tarehe 30/07/2025 saa 9:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya KAPU LA MAMA la binti yetu mpendwa
Mawasiliano : VEDASTO ALISEN SENYONI 0628274402
Statistics
Created today: 75
Created yesterday: 74
Created 7 days: 449
Created 30 days: 1594
All ecards: 352439
Copyright by CreateGreetingCards.eu