Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Mwaliko wa kikao cha kharusi

Ads
Mwaliko wa kikao cha kharusi
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha kharusi
Familia ya mama akelina wa ussoke mahengo inayo furaha kukukaribisha/kuwakalibisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha kharusi cha binti wao mpendwa anastazia lameck

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kwa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.kikao kitafanyika nyumbani kwa mama akelina siku ya tarehe 30/09/2023 saa 10:00 jioni.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndo mafanikio ya harusi wa binti yetu mpendwa

Mawasiliano : Mama akelina 0788598219
Mama ana 0787127596
Similar cards
Inspirations
Venue : B 301 Aero HomesVenue : Puneet Sanjivani Tower- Flat 1704SUHASINI DAREKARKanha’s Bornahan and Haldi Kumkum InvitationAnshसुप्रभात
Statistics Created today: 29 Created yesterday: 104 Created 7 days: 454 Created 30 days: 2230 All ecards: 337119
Copyright by CreateGreetingCards.eu