Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MWALIKO WA KIKAO CHA KWANZA CHA HARUSI

Ads
MWALIKO WA KIKAO CHA KWANZA CHA HARUSI
Create a similar
Send a card
The content of the card
MWALIKO WA KIKAO CHA KWANZA CHA HARUSI.

Familia ya Marehemu Dr Eliezer Chiduo wa Mbezi DSM inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha Kwanza cha harusi ya kijana wao Richard Eliezer Chiduo.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakachofanyika ROSE GARDEN BAR tarehe 22/02/2025 Kuanzia saa 09:00 jioni.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya harusi ya kijana wetu.

Kwa Mawasiliano Zaidi
Perice Chiduo 0715-422933
Richard Chiduo 0683-959240
Similar cards
Inspirations
Venue :#5111, Appaswamy Splendour|| Jay Shree Umiya Mataya Namah||Time: 4.00pm - 6.00pmVenue : Rima Pradhan, A603, Fortune Heights,Mangal Pandey Road, SamaMe has visto reír, me has visto llorarOn Thursday 25 January 2024
Statistics Created today: 58 Created yesterday: 83 Created 7 days: 487 Created 30 days: 2228 All ecards: 337472
Copyright by CreateGreetingCards.eu