Mwaliko wa kikao cha Sendoff
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha Sendoff
Familia ya Bw&Bi Angelus Komba wa Mbinga-Ruvuma kwa kushirikiana na Familia ya Bw&Bi Catherine Selema tunayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye kikao cha sendoff ya binti yao mpendwa Daula Komba
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Jambo Bar-jet lumo tarehe 20/07/2025 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya sendoff yetu mpendwa
Mawasiliano : Daula Komba
Yas-0676325453
Voda-0763325453
Statistics
Created today: 47
Created yesterday: 44
Created 7 days: 375
Created 30 days: 1484
All ecards: 352161
Copyright by CreateGreetingCards.eu