Mwalimu Eva Pascal Kandunwa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu
Mwalimu Eva Pascal Kandunwa
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba mwanzoni mwa mwezi wa 10/2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Kikao kitafanyika tarehe 19/07/2025 siku jumamosi katika ukumbi wa kanisa la Anglikana Ludewa mjini.
Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Statistics
Created today: 41
Created yesterday: 70
Created 7 days: 377
Created 30 days: 1483
All ecards: 352111
Copyright by CreateGreetingCards.eu