"Na katika ishara zake amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao,Nae amej
Create a similar
Send a card
The content of the card
Bismillah hir-rahman nir-rahim
"Na katika ishara zake amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao,Nae amejaalia mapenzi na huruma baina yenu, hakika katika haya bilashaka zipo ishara kwa watu wanao fikiri ;Surat al-Rum-21"
MWALIKO WA WALIMA
Ndugu_______________________
Tafadhali ukiwa ndugu ,jamaa na rafiki, ungana nasi
katika hafla fupi ya chakula cha pamoja
kufuatia NDOA ya,
Ramadhan Omary
&
Neema Juma
Uwepo wako ni muhimu sana kufanikisha hili
InshaAllah
on 28 sept 2019
Time-6:45 pm
Tafadhali thibitisha uwepo wako kabla 15 sept 2019
Call; 0657332136/0659201700
Venue: Mbezi garden
MBEZI BEACH
Statistics
Created today: 3
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1590
Created 30 days: 3655
All ecards: 328989
Copyright by CreateGreetingCards.eu