Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bib/Bwa YUSUH HAMISI wa Kondoa-Busi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
NURUDINI YUSUPH HAMISI
anatarajia kufunga ndoa na
NAFIL ABDUL ISAKA.
Inayotarajiwa kufanyika tarehe 26/10/2024.
Ukiwa kama ndugu jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.MWISHO WA MCHANGO NI 24/10/2024.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : NURUDIN HAMISI
0627117968. AU
TIGO LIPA NO.7347648
Statistics
Created today: 4
Created yesterday: 83
Created 7 days: 391
Created 30 days: 1515
All ecards: 352451
Copyright by CreateGreetingCards.eu