Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Ndugu/REBECCA BANYA

Ads
Ndugu/REBECCA BANYA
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/REBECCA BANYA

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
You are invited for Haldi Kumkum and AkiraOn 19 January 2023Venue : Type IV- K/1, Anushri colonyVenue :D-1002,Bhoomi Gardenia-1On Sunday, 17 January 2020Familia ya Joseph Aloyce inayofuraha
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 82 Created 7 days: 556 Created 30 days: 2871 All ecards: 355957
Copyright by CreateGreetingCards.eu